Dhidi ya vikwazo vyote, mwamini Mungu kwa kila Jambo. “Wenye haki hulia, naye BWANA huwasikia, huwaokoa katika taabu zao zote. BWANA yu karibu nao waliovunjika moyo na huwaokoa waliopondeka roho” (Zaburi 34:17-18)
Speaker: Maureen
Email: hopefaithtvministry@gmail.com